Zitto Kabwe: NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda

Zitto Kabwe: NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda

Kupitia akaunti yake ya twitter mheshimiwa Zitto zuberi kabwe ameandika

"Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda.
Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo"

0 comments: